Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
- Thread starter
-
- #41
Achana na maneno haya, uanaume haupimwi kwa vitu hivyo.... Wapo watu wengi wana mambo ya kibabe kabisa, ila ni ma faggot tu..
Weww uanaume kwako unapimwa kwa vitu gani?Hata kama mtu hapangiwi ndo mtoto wa kiume uangalie Sultan????
c bora ya sultan.. mtu anachek SHILAWADUMtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Factors zipo nyingi. Ila mtoto wa kiume kuingilia mambo ya mabeki tatu ni kijidisqualifyWeww uanaume kwako unapimwa kwa vitu gani?
Sawa chief!Factors zipo nyingi. Ila mtoto wa kiume kuingilia mambo ya mabeki tatu ni kijidisqualify
Nie akina Dada vp mnataka muachiwe nie tuWe endelea tuuu
Hata kama mtu hapangiwi ndo mtoto wa kiume uangalie Sultan????
Hahahahah nampenda pashaa kama nimtunuku kitumbua handsome yuleee
Hata kama mtu hapangiwi ndo mtoto wa kiume uangalie Sultan????
KivipAchana na hii kitu. Sio level yako
Hahaha wala usjali enjoyHapo tu ndipo unaponimalizaga mwanamke weye