Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Wengine walikua wana angalia siri za familia
 
Hata kama mtu hapangiwi ndo mtoto wa kiume uangalie Sultan????

Hapo ndio utaamini kuna watu wanaakili za kushikiwa.kwahiyo wewe kuangalia mashoga wamecheza picha ya kijeshi ndio unajiona mwanaume kamili,na yule anaeangalia simulizi za mpenzi ya jinsia mbili ndio sio mwanaume kamili?alafu ulivyo kinda unakiponda kitu ambacho wewe unaonekana unakifuatilia
 
Nilishaacha hizi mambo kitambo, ila kwa mara kadhaa nilizoangalia, ninaweza kusema wanaoangalia wanainjoi.

Ni Tamthiliya nzuri sana. Waigizaji wamecover majukumu yao ipasavyo, walioweka sauti zao kwa Kiswahili wametisha pia.

Ila kesho inabidi game ya Liverpool niangalizie Bar maana wifi yenu atakuwa anaangalia Sultan.
 
We ni bonge la pimbi, ata iyo prison break imechezwa na Michael Scofield ambaye alijitangaza kuwa analiwa tigo, ivyo usiwacheke wanaoangalia sultan
 
Bahati mbaya hujui historia ya Otman katika historia ya Dunia ndo maana
 
Wazee Wa Sultan, Hii kitu naiskia skia sasa itabidi niichek walau mara moja nione **** nini
 
Mkuu mm sijawahi itazama iyo sultan but naona mara 1000 sultan kuliko huo mfano wa series ya prison break yan shoga wa prison gay scorfield ndio nimtazame mimi haimake sense kwa kweli takecare mkuu usipewe mbinu na mashoga kutoroka gerezani utakuwa chakula ya maafande.
 
Jamaa wa prison break sio shoga?
 
Back
Top Bottom