Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

We boya lazima ucomment ujinga wako humu? Kutwa unawaza kuliwa tuu? mwisho unajitangaza kugawa bure sasa! sometimes ficha ujinga wako kwa kukaa kimya!
We fala ukiingia jf kazi yako kusoma comment zangu sometimes angalia ubongo wako usijaze pumba pumbafuuuuuuuuuu
 
Inasikitisha sana aiseeh.

Ukiona dume zima anaacha kwenda kuangalia mpira na wanaume wenzie lakini hiyo sijui sulitani na shilawadu lazima aangalie, ana shida mahali.
 
Tyrant tu ni moto mwingine hui
 
Nyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume haijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.

(Ila Mnisamehe jamani) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume aijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.

(Ila Mnisamehe jamani) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni miongoni mwa wanaume tunaoangaliaga sultani pamoja na Jamai Rajja
 
Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???

Utaolewa Na Ndevu zako
Kuna mwanaume mumoja mkubwa sana wa dasilama huwa anaangalia hadi kwenye Twitter yake alipost anaitwa baba nani sujui aka ADB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…