Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Kwa maelezo haya unanifanya niendelee kuipenda na niendeleee kuiangalia
Kwa hakika utajiongezea maarifa na ufahamu.

1537359344789.png
 
Huu ni upuuzi pamoja nawale wanao angalia shilawadu ukishika simu zao kuna beauty camera na 360 camera,,unakuta limepost picha limeweka maua kwenye paji la uso kama madem wanavofanya nasisitiza tena huo ni ufalaaa
 
Unaanzaje kuchukia kitu kwa sababu za kijinga kama hizo. Eti "mtoto wa kiume" hafai kufanya hili au lile tena katika vitu vya kawaida vya starehe. Wewe nadhani malezi na makuzi yamechangia kuwa hivyo. Badilika hujachelewa.
 
Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???

Utaolewa Na Ndevu zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sultani Kali Sana nimeishia mke mdogo Wa sultani anafukuzwa kwenye kasri LA mfalme
 
sijui kuhusu sultan.ila prisonbreak ni motoo.
prison break ni series ya kijasusi" na ndiyo series iliyochochea zaidi ' " watu " kuwafanya wapende kutazama series " ....yaani inshort usiifananishe prison break na vitu vya kijinga"
 
Hapo ndio utaamini kuna watu wanaakili za kushikiwa.kwahiyo wewe kuangalia mashoga wamecheza picha ya kijeshi ndio unajiona mwanaume kamili,na yule anaeangalia simulizi za mpenzi ya jinsia mbili ndio sio mwanaume kamili?alafu ulivyo kinda unakiponda kitu ambacho wewe unaonekana unakifuatilia
acha hizo mambo aisee " sultan waachie kina mama
 
Back
Top Bottom