Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje
Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana hata ilivuliwa hutupwa chini 😂
Au labda tuseme ni daktari wakati wa kukuchoma sindano! Hapo inategemea na jinsia lakini kila jinsia itaangalia macho yatakayo kuona
Walau kidogo zamani unafunua ya nguo ya ndani ili uone nyashi.. au papa.. Siku hizi unafunua nyashi au papa ili uone nguo ya ndani 😌
Ndio maana siku hizi wameamua kabisa wasivae…😂