Eti nguo ya ndani nayo ina nje na ndani

Eti nguo ya ndani nayo ina nje na ndani

Hadi kufikia mchango namba #22.
Nasoma huku chini kumewaka moto , mkiongelea mambo ya chupi mwili unasisimka.
 
Kuna jamaa lilimnunuliaga chupi 5 mke wake, halafu zote za rangi moja.

Mke akauliza, sasa watu watanifikiriaje kila siku rangi hiyo hiyo?

Jamaa akapata sababu.
Mke alikuwa chawote
 
Hivi kwanini hizi nguo haziheshimiwi wakati wa tendo
Kasie

Hisia zina nguvu sana, kuna shosti mmoja alinisimulia alikutana na mwanaume yeye huwa anaishika pale kati anairarua halafu safari inaanzia hapo....

Fantasy ya huyo mwanaume ni kuchana chochote anachomkutanacho mpenzi wake kabla ya safari kuanza....

Shosti akamkimbia akihofu iko siku atakuja rarua kipochi pendwa....😄.
 
Nilivyokuwa kipotable nilkuwa navaa sana hasa na jeans ila tangu nimebongeka akhhuuu!😁
Kama huyu?
IMG_0196.jpeg
 
Back
Top Bottom