Eti ni kweli duniani vitu vyote vimeumbwa viwili viwili?

Hivi mleta mada, kwanini ubadili na kuongeza herufi "n" na kulifanya liwe TANZANNIA kwenye jina zuri Tanzania la nchi yetu alilolitunga Muhindi wa Tanga?

Huo ndiyo uzalendo au ujinga?

Na Moderator s wanaoliacha jina la nchi yetu liharibiwe wananishangaza zaidi.
 
Si ujinga dada yangu,ni uzalendo uliopitiliza,kwanini?kwasababu nilipenda id hii lakini bahati mbaya nikakuta iko occupied,kwa mapenzi niliyonayo,na ili nisipoteze maana nikaamua kuongeza n' na ndio ikasomeka 'tanzannia'bila kuopoteza maana niliyoikusudia,i hope you have well understood me.
 
Sasa huo ni uzalendo au uharibifu? Unabadili jina zuri la nchi yako alilokutungia Muhindi wa Tanga halafu unajiita mzalendo?

Kwanini usiweke jina sahihi Tanzania halafu ukamalizia kwa neno la pili la kibwagizo cha uzalendo wako?

Kwa mtindo huo, tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Haipendezi kabisa kuona jina la nchi ninayoipenda linabadilishwa kwa ujinga tu.

Tafadhali rekebisha huo si uzalendo ni ujinga.
 
haya asante kwa ushauri wako mzuri,umeamka salama lakini?,
 
Back
Top Bottom