Eti ni kweli kwamba wahitimu wa UDSM ndo wanaharibu hii nchi

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano

1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu serikalin wamepitia UDSM
2. Wanasheria wanaolitia Taifa hasaran kila uchao kwa kuingia mkenge kwenye mikataba mibovu wamehiti UDSM kitivo cha sheria.
3. Asilimia 80% ya wabunge wa katiba wamepitia UDSM
4.Wakandalasi wanaojenga majengo chin ya viwango na kuua watu wametokea UDSM
5.Wanaofanya biashara ya meno ya tembo wengi wao wametoka UDSM
6.Watuhumiwa wa EPA na ufisad mwingine wamegraduate UDSM
7.Mtandao wa wauza unga wengi wamegraduate UDSM
8.Mawaziri waliojiuzur kwa utendaj mbovu wametoka UDSM
9.Rais wa nchi hii ametokea UDSM
10.Wakurugenz walioua mashirika ya UMMA wametokea UDSM
11.Watoa vibari wote wametokea UDSM
12.Sera ya gesi na ugawaj wa vitaru unaratibiw na wahitim wa UDSM

Mh kama ndo ivyo , wa UDSM munafaid nchi wajamen , siye wa SEKUKO na TEOFIRIKISANJARI imekula kwet mazima aisee

Majaa wakamention midata kibao me nkabak mdomo wazi , nkasema ngoja nkwasilish kwa wenzang niskie michango yao , eti hivi hoja zao zina mashiko au ? na nini kifanyike sas...me niefanya kama WARIOBA wa tume ya katiba , ndo nshawasilisha Rasimu hivyo , haya kak mkuu njo na ww uiponde..
 
acha kusingizia Udsm home of intellectuals matatizo ya nchi yanaletwa na sisi Watanzania wenyewe hawataki mabadiliko wamekumbatia ujima hafu tatizo lingine kuua Arusha declaration miiko ya kitaifa kwa watu na viongozi kutokuwa na uzalendo wa kweli hlo ni tatizo kwa Tanzania almost nzima kukosa visionary leader na strong institutions ndo tatizo hapa ni kubadilika kwa kupunguza gap kati ya wenye nacho na wasio nacho kusema Udsm sizani kama ni correct sana
 
Elimu yako bado haijakusaidia, umeandika kama mtoto wa darasa la saba bila kufanya critical analysis. Kwa kukusaidia tu, jiulize sekondari za kata zilianza lini, nini kilisababisha kuzuka kwa vyuo vya kata(najua utakasirika kuviita hivyo) lakini vingine vina branches mpaka kwenye mabaaa/ hotel. Unategemea kabisa kwa muda tangu vianze vimeshatoa watumishi wa umma waliofikia rank za kuendesha taifa? Pamoja na hayo, kwenye udahili wa vyuo vikuu wanaanza kujaza vichwa vyote pale kwenye hill halafu waliobaki mnatupiwa sendekarawe so obvious pale zimejaa mashine. Usisikitike sana maana dunia nzima utaratibu ni huo huo mashine zina vyuo vyao. Hivi vyuo vingine tuendelee kusindikiza maana hata mwajiri akiona una cheti chuo hata hajawahi kukisikia eti SEKUKOanajiuliza kiko tanzania kweli hiki? Kwa hiyo wapo sana na kwa huu utaratibu wa vyuo vya binafsi wa undergraduate kufundisha undergratuate wenzie wataendelea kufaidi matunda ya nchi. Lakini si lazima kuwa muajiriwa hata biashara inalipa tu.
 
Vichangu nchi nao wametokea udsm.udsm nayo chuo.udsm+uchangu+chup degree=ptuuuu!!!!
 
huko kwenu kwenye vyuo vya kata eeh eti pichu na uchangu tena usiongee usicho jua pale tuna strugle hatari kwanza ni imposible mana kila somo lina walimu tofauti labda huko vyuo vyenu
 
Matatizo ya nchi hii yana wadau wawili wakubwa, wanasiasa kwa kiwango kikubwa na wananchi kwa kuendelea kuwaachia wanasiasa hao hao kuwaamulia kila jambo hata lisilohitaji siasa! Hayo ya UDSM nadhani umeandika tu kuvuta attention za watu ama ligi ya kiuanafunzi.
 
umenena point muhimu hapa Tanzania maamuzi yanayohtaji proffesional yana amuliwa na wanasiasa hapo unategemea nini yani profesional haina nafasi kila kitu siasa mambo ya vyama ndo yana chukia nafasi kubwa kuliko mstakabali wa nchi na tatizo lingne wananchi wenyewe hawataki mabadiliko tamaa za vijana na ukosefu wa uzalendo hatujawekeza vya kutosha kwenye elimu kuanzia chini ndo mana mabadiliko hamna
 
Tatizo la tanzania wasomi tulio nao wamejaa uoga na umimi. Eti maamuzi yanafanywa na wanasiasa yanatekelezwa na nani? Nani anawashauri hao wanasiasa? Ukishauri ushauri wako ukatupwa kapuni kama mtaalamu unafanya nini? Tuache visingizio wasomi nao wana mchango wao wa kutosha tu kwenye kukwamisha maendeleo ya hii nchi. Hivi unadhani mwanasiasa wa darasa la saba akikuambia kitu kisicho sawa wewe na degree yako ukafyata mkia nani wa kulaumiwa? Nimeyaona sana haya kwenye halmashauri za wilaya madiwani na std 7 zao wananyoosha wataalamu balaaaa. Muwe confident nyie wasomi wetu hakina mtu atachukua elimu yako huko kichwani na kama uko vizuri hata ukiacha kazi kwa kugoma kufanya nje ya proffession utapata kazi ingine tu. Tubadilike tujenge taifa badala ya kujijenga binafsi.
 
umenena point muhimu hapa Tanzania maamuzi yanayohtaji proffesional yana amuliwa na wanasiasa hapo unategemea nini yani profesional haina nafasi kila kitu siasa mambo ya vyama ndo yana chukia nafasi kubwa kuliko mstakabali wa nchi na tatizo lingne wananchi wenyewe hawataki mabadiliko tamaa za vijana na ukosefu wa uzalendo hatujawekeza vya kutosha kwenye elimu kuanzia chini ndo mana mabadiliko hamna

Mimi kama ninavyowaza ni sawa nadhani kama elimu ya uraia ingekuwa imewafikia watu wengi hata haya ya kupoteza muda kwenye chaguzi yasingekuwepo kwa maana mwakilishi wa wananchi angepimwa kutokana na utendaji wake! Sina hakika kama wananchi wanachohitaji ni mtu ama maendeleo.

Nikisema matatizo mengi yameletwa na wanasiasa ni kwamba wametumia mwanya wa wananchi kutokuwa na exposure ya kutosha kufifisha mifumo ambayo ingewawezesha wananchi kupata hata mwanga kidogo ili waendelee kuwakalia kimabavu.

And bad enough hata wataalamu wetu walioamua kuacha taaluma zao na kujiingiza kwenye siasa wamepata upofu na si ajabu kumkuta mtaalamu say wa mazingira na uhifadhi mbobezi akipiga piga dawati la bunge kofi kupitisha hoja ya kujenga barabara na hoteli kwenye hifadhi na mbuga zetu kitu ambacho taaluma yake yenyewe itamsuta!
 
Uzi wako ni wa kuhisi hisi tu na unaojikita katika dhana ya wivu.

Mchango wa UDSM toka uhuru ni mkubwa sana na si tu kwa
Tanzania bali hata kwa Afrika na Dunia.

Ebu tuwe wakweli tu,uharibifu wa nchi hii unatokana na sisi wenyewe
kutokuwajibika na badala yake kutumia muda mwingi katika majungu
ya siasa na starehe zisizo kuwa na maana yeyote.

Ndugu yangu tubadilike,tuache kulalamika lalamika na kumtafuta mchawi
wetu hii haitasaidia hata kidogo sana sana itakuongezea uchungu na hivyo
kuendelea kupigwa gap.

Wakati ndio huu kama wewe ni mwanafunzi soma kwa bidii na kama walimu hawafundishi
jitahidi kujadiliana na wenzako,kuwa mbunifu,mchapakazi na walau muombe Mwenyezi Mungu
wako japo mara moja kwa juma hakika utafika unakofikaria na kuwasaidia wengine.
 
kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano

1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu serikalin wamepitia UDSM
2. Wanasheria wanaolitia Taifa hasaran kila uchao kwa kuingia mkenge kwenye mikataba mibovu wamehiti UDSM kitivo cha sheria.

3. Asilimia 80% ya wabunge wa katiba wamepitia UDSM
4.Wakandalasi wanaojenga majengo chin ya viwango na kuua watu wametokea UDSM
5.Wanaofanya biashara ya meno ya tembo wengi wao wametoka UDSM
6.Watuhumiwa wa EPA na ufisad mwingine wamegraduate UDSM
7.Mtandao wa wauza unga wengi wamegraduate UDSM
8.Mawaziri waliojiuzur kwa utendaj mbovu wametoka UDSM
9.Rais wa nchi hii ametokea UDSM
10.Wakurugenz walioua mashirika ya UMMA wametokea UDSM
11.Watoa vibari wote wametokea UDSM
12.Sera ya gesi na ugawaj wa vitaru unaratibiw na wahitim wa UDSM

Mh kama ndo ivyo , wa UDSM munafaid nchi wajamen , siye wa SEKUKO na TEOFIRIKISANJARI imekula kwet mazima aisee

Majaa wakamention midata kibao me nkabak mdomo wazi , nkasema ngoja nkwasilish kwa wenzang niskie michango yao , eti hivi hoja zao zina mashiko au ? na nini kifanyike sas...me niefanya kama WARIOBA wa tume ya katiba , ndo nshawasilisha Rasimu hivyo , haya kak mkuu njo na ww uiponde..

sasa udsm inafundisha uharibifu?na chuo ni sehemu ya kupata taaluma au kufundishana tabia?.WEWE KAMA MWIZI NI MWIZI TU,HATA UKIPITA HARVARD SO TUACHE MAMBO HAMBAYO HAYANA UHUSIANO WOWOTE
 
Udsm inamchango mkubwa kutoa watu feki wasio na uzalendo na nch yao.mana atastaili ya degr yao inafanana na utendaji wao
 
jipe tu matumaini baada ya kukosa nafasi adhimu pole yako hayo huwa maneno ya kujifariji
 
Mimi kama ninavyowaza ni sawa nadhani kama elimu ya uraia ingekuwa imewafikia watu wengi hata haya ya kupoteza muda kwenye chaguzi yasingekuwepo kwa maana mwakilishi wa wananchi angepimwa kutokana na utendaji wake! Sina hakika kama wananchi wanachohitaji ni mtu ama maendeleo.

Nikisema matatizo mengi yameletwa na wanasiasa ni kwamba wametumia mwanya wa wananchi kutokuwa na exposure ya kutosha kufifisha mifumo ambayo ingewawezesha wananchi kupata hata mwanga kidogo ili waendelee kuwakalia kimabavu.

And bad enough hata wataalamu wetu walioamua kuacha taaluma zao na kujiingiza kwenye siasa wamepata upofu na si ajabu kumkuta mtaalamu say wa mazingira na uhifadhi mbobezi akipiga piga dawati la bunge kofi kupitisha hoja ya kujenga barabara na hoteli kwenye hifadhi na mbuga zetu kitu ambacho taaluma yake yenyewe itamsuta!

ni kweli unayosema hapa Tanzania badala ya kuangalia utendaji wa mtu tunangalia chama unakuta kiongozi hana uadilifu fisadi na wananchi wana mchagua hafu ile hali ya kutokuwa na exposure kwa Watanzania wengi ni tatizo wananchi hata kama wanaonewa ni waoga kudai haki zao ndo mana wanasiasa wanatumia hzo weakness mana wanajua hawata wajibishwa incase ya profesional njaa zinawasumbua
 
Huo ni uvivu tu wa kufikiri ndiomaana umeshndwa kuhoji na kujua, kwanza wew umesoma au unasoma chuo gan maana nahis kwa upeo wako mdogo wa kufikiri unaonekana ulifeli kidato cha pili ukashndwa kuendelea ndiomaana unaongea pumba tu.
 
ni kweli unayosema hapa Tanzania badala ya kuangalia utendaji wa mtu tunangalia chama unakuta kiongozi hana uadilifu fisadi na wananchi wana mchagua hafu ile hali ya kutokuwa na exposure kwa Watanzania wengi ni tatizo wananchi hata kama wanaonewa ni waoga kudai haki zao ndo mana wanasiasa wanatumia hzo weakness mana wanajua hawata wajibishwa incase ya profesional njaa zinawasumbua

Nilibatizwa kwa imani waliyokuwa wanaifuata wazazi wangu, dini ya Kikristo, na ni mfuasi wa dhehebu la Lutheran, tokea nikiwa mtoto mdogo hadi leo midevu kila mahali nilikaririshwa kwamba no matter utakuwa ni mdhambi kiasi gani na ukachelewa kutubu kabla ya kurudi kwa Muumba basi hukumu zetu zitakuwa sawa, i.e muuaji na mporaji dhambi yao ni moja.

Ila nilipokuja kupata ufahamu kidogo na kuanza kujenga reasoning kuna mambo ambayo si ya kukubaliana nayo kirahisi rahisi, hata kama niliaminishwa hivyo na viongozi wa dini. Haiwezekani mtawala atumie vishawishi vya enzi za mkoloni mweupe kuwarubuni watu wake mwenyewe, na kwasababu ya ulofa wao wakakubali ili tu kupata mlo wa siku moja, kumpa mtawala ridhaa tena ya kuendelea kuchezea kamari maisha yao kwa ng'we nyingine kisha tuje kuambiwa hapa hukumu ya huyu mtawala itakuwa sawa ya hukumu ya mtu aliyesahau kutubu dhambi ya kumnung'unikia mtawala...haiwezekani hata kidogo!

Mimi nafikiri tuna wataalamu wengi tu kwenye vyuo na taasisi zetu za Elimu ya Juu ni suala la kukaa chini kutengeneza programu ya ambayo kila mwananchi wa jimbo fulani atapewa ama kuwepo kwenye ofisi ya jimbo of which itam moderate mwakilishi wa wananchi hao kwenye vyombo ya uwakilishi na kwenye maendeleo ya jimbo lake ili kaa atafail kufikia lengo bila remarks zakutosha awe amejitoa kwenye ligi mwenyewe kwa kuwa atakuwa anajua kwamba hakufanya kile alichostahili kukifanya.
 
kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano

1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu serikalin wamepitia UDSM
2. Wanasheria wanaolitia Taifa hasaran kila uchao kwa kuingia mkenge kwenye mikataba mibovu wamehiti UDSM kitivo cha sheria.
3. Asilimia 80% ya wabunge wa katiba wamepitia UDSM
4.Wakandalasi wanaojenga majengo chin ya viwango na kuua watu wametokea UDSM
5.Wanaofanya biashara ya meno ya tembo wengi wao wametoka UDSM
6.Watuhumiwa wa EPA na ufisad mwingine wamegraduate UDSM
7.Mtandao wa wauza unga wengi wamegraduate UDSM
8.Mawaziri waliojiuzur kwa utendaj mbovu wametoka UDSM
9.Rais wa nchi hii ametokea UDSM
10.Wakurugenz walioua mashirika ya UMMA wametokea UDSM
11.Watoa vibari wote wametokea UDSM
12.Sera ya gesi na ugawaj wa vitaru unaratibiw na wahitim wa UDSM

Mh kama ndo ivyo , wa UDSM munafaid nchi wajamen , siye wa SEKUKO na TEOFIRIKISANJARI imekula kwet mazima aisee

Majaa wakamention midata kibao me nkabak mdomo wazi , nkasema ngoja nkwasilish kwa wenzang niskie michango yao , eti hivi hoja zao zina mashiko au ? na nini kifanyike sas...me niefanya kama WARIOBA wa tume ya katiba , ndo nshawasilisha Rasimu hivyo , haya kak mkuu njo na ww uiponde..
viongozi ni wabovu kweli, wasomi wa udsm ndio chanzo cha matatizo kweli, lakini wa kulaumiwa sio udsm. KWANI HAWA WATU WAMETOKEA KWENYE MAABARA ZA UDSM? JAMII NDIO IMEHARIBIKA NA HAWA VIONGOZI NI SEHEMU YA JAMII ILIYOHARIKA NA WAMETOKA KWENYE JAMII HIYO HIYO NA HUWEZI KUTEGEMEA MTU MZURI ALIYETOKA KWENYE JAMII MBAYA. HATA SISI WA VYUO VINGINE TUNACHEZA NGOMA ILEILE KWA SABABU TUMETOKA KWENYE JAMII ILE ILE.
 
acha kusingizia Udsm home of intellectuals matatizo ya nchi yanaletwa na sisi Watanzania wenyewe hawataki mabadiliko wamekumbatia ujima hafu tatizo lingine kuua Arusha declaration miiko ya kitaifa kwa watu na viongozi kutokuwa na uzalendo wa kweli hlo ni tatizo kwa Tanzania almost nzima kukosa visionary leader na strong institutions ndo tatizo hapa ni kubadilika kwa kupunguza gap kati ya wenye nacho na wasio nacho kusema Udsm sizani kama ni correct sana[/QU mbkofi kwako tafadhali
 
kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano

1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu serikalin wamepitia UDSM
2. Wanasheria wanaolitia Taifa hasaran kila uchao kwa kuingia mkenge kwenye mikataba mibovu wamehiti UDSM kitivo cha sheria.
3. Asilimia 80% ya wabunge wa katiba wamepitia UDSM
4.Wakandalasi wanaojenga majengo chin ya viwango na kuua watu wametokea UDSM
5.Wanaofanya biashara ya meno ya tembo wengi wao wametoka UDSM
6.Watuhumiwa wa EPA na ufisad mwingine wamegraduate UDSM
7.Mtandao wa wauza unga wengi wamegraduate UDSM
8.Mawaziri waliojiuzur kwa utendaj mbovu wametoka UDSM
9.Rais wa nchi hii ametokea UDSM
10.Wakurugenz walioua mashirika ya UMMA wametokea UDSM
11.Watoa vibari wote wametokea UDSM
12.Sera ya gesi na ugawaj wa vitaru unaratibiw na wahitim wa UDSM

Mh kama ndo ivyo , wa UDSM munafaid nchi wajamen , siye wa SEKUKO na TEOFIRIKISANJARI imekula kwet mazima aisee

Majaa wakamention midata kibao me nkabak mdomo wazi , nkasema ngoja nkwasilish kwa wenzang niskie michango yao , eti hivi hoja zao zina mashiko au ? na nini kifanyike sas...me niefanya kama WARIOBA wa tume ya katiba , ndo nshawasilisha Rasimu hivyo , haya kak mkuu njo na ww uiponde..

Hata matatizo yako ya kushindwa kuandika yametokana na UDSM maana walimu wako wanaokufundisha huko uliko wametoka UDSM. Better remain silent and be considered a fool than speak and remove all doubt. Sikujua kama kuna graduate anaweza kuwa mbumbumbu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom