Eti ni kweli kwamba wahitimu wa UDSM ndo wanaharibu hii nchi

uliyeleta mada bado mtoto mdogo. hujui hata hivyo vyuo vya kata vimeanzishwa lini. ss ulitegemea wangesoma wapi? kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. tafakari.
 

msomi kutoka "home of intellectuals" ata sema sizani badala ya sidhani, hiki chuo ndio chuo mama kwa hapa Tanzania kama hawaoni kuwa kinazalisha watendaji mabomu japo sio wote basi inchi imeingiliwa na vichaa
 

vijana alws munatakiw mujifunz kujenga na kuteta hoja , jibu hoja siyo mipasho
 
uliyeleta mada bado mtoto mdogo. hujui hata hivyo vyuo vya kata vimeanzishwa lini. ss ulitegemea wangesoma wapi? kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. tafakari.

na walipleta vyuo vya kata ni hao watunga sera ambao n GRADUATE WA UDSM , siyo vyuo vya kata mpaka sera ya kilimo kwanza na sas ni Big Results Now , hiv unatak mtu aseme nn mpaka uelew ?....waliopanga na kupangua madaraj ya ufaulu kwa kidat cha 4 na 6 walitokea UDSM au unabisha hujui MULUGO na KAWAMBW wamemaliz wap
 


mmh kweli lakin , maana hata waliotunga sera mbov za kuanzisha mishule ming ya kata pasi kujua uhalisia wa mahitaj ya kimiundombin ya hizo shule na vyuo nao ni Graduates wa UDSM wanaendelea kutuharibia vijana , ni kweli lakin vichwa vyote Tanzania hapa huend UDSM kuharibiw maana output yao ni kama hii ya wenzao waliotangulia , na wote tukifany biashara huduma za jamii atatoa nan , ur selfish ee , siye wa TEOFIR KISANJARI hata kweny KIGODA CHA MWALIMU hatuonekan
 
uliyeleta mada bado mtoto mdogo. hujui hata hivyo vyuo vya kata vimeanzishwa lini. ss ulitegemea wangesoma wapi? kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. tafakari.


mmh we nawe una mataiz , mtu kajitahid kufikiri mpaka hapo bado unamponda , huyo siy mtoto sema kagusa maslah ya watu , kama operation tokomeaz
 

mmh we nawe unaona mbali kweli , yaan wew ni kichwa , na wasomi wasio na confidence na ndo wapo maofisi na weng wao wanatoka palepale
 
kila la heri kijana, kwa heri. Naamini huwakilishi wahitimu wote wa TEKU na SEKUCO


haaaa mwanajamv heb tupe mchango wako bhana tunakutegemea kulinusur Taifa bhana usituache wenyew bhana
 
msomi kutoka "home of intellectuals" ata sema sizani badala ya sidhani, hiki chuo ndio chuo mama kwa hapa Tanzania kama hawaoni kuwa kinazalisha watendaji mabomu japo sio wote basi inchi imeingiliwa na vichaa

kwa hiyo umeona (sizani) ndo cha muhimu badala ya kuchangia huoni hiyo ni mistake ndogo hicho ni chuo cha taifa na ndio maana kipo kwenye rank ya universities vya dunia kwanza chuo kinazalisha many profesional kusema kinazalisha watu bomu umejiingiza chaka ingekuwa hivo kisingekuwepo tatizo tulilo nalo ni mifumo mibovu iliyopo na wala sio chuo tatizo kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka wa juu ni tatizo
 

Shukuru hata hizo sera mbovu walizotoa udsm kuanzishwa vyuo vya kata ambapo kimojawapo umefanikiwa kusoma la sivyo usingejua hata chuo kikoje. Big up udsm
 
shukuru hata hizo sera mbovu walizotoa udsm kuanzishwa vyuo vya kata ambapo kimojawapo umefanikiwa kusoma la sivyo usingejua hata chuo kikoje. Big up udsm

mmh kweli lakin , hat kam ni chungu twameza hivy hivy
 

mmh me rank za kimataif wanatumia metrics gan kupima ubora wa chuo husika ? nahis hata hii hoja haijajikita kwenye kujua rank ya chuo katika level ya kimataif , imejikita kuangalia madudu yanayofanywa na wahitimu wa UDSM na mchango wa madudu hayo katika mustakabali wa Taifa ....inamaana kwa kuangalia madudu ya wahitim katika nchi zao kama METRICS ndipo tunapowez kulinganisha na wahitimu wa vyuo kama vile MAKERE , JOMO KENYATA , MWAIDUGULI UNV , STATE UNIV OF BOTSWANA etc na hapo ndipo tungewez kujua nafas ya UDSM meen , ila kwa kutoa wahitimu vipanga haaa UDSM inatisha bhana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…