Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kusingizia Udsm home of intellectuals matatizo ya nchi yanaletwa na sisi Watanzania wenyewe hawataki mabadiliko wamekumbatia ujima hafu tatizo lingine kuua Arusha declaration miiko ya kitaifa kwa watu na viongozi kutokuwa na uzalendo wa kweli hlo ni tatizo kwa Tanzania almost nzima kukosa visionary leader na strong institutions ndo tatizo hapa ni kubadilika kwa kupunguza gap kati ya wenye nacho na wasio nacho kusema Udsm sizani kama ni correct sana
Hata matatizo yako ya kushindwa kuandika yametokana na UDSM maana walimu wako wanaokufundisha huko uliko wametoka UDSM. Better remain silent and be considered a fool than speak and remove all doubt. Sikujua kama kuna graduate anaweza kuwa mbumbumbu kiasi hiki.
uliyeleta mada bado mtoto mdogo. hujui hata hivyo vyuo vya kata vimeanzishwa lini. ss ulitegemea wangesoma wapi? kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. tafakari.
Elimu yako bado haijakusaidia, umeandika kama mtoto wa darasa la saba bila kufanya critical analysis. Kwa kukusaidia tu, jiulize sekondari za kata zilianza lini, nini kilisababisha kuzuka kwa vyuo vya kata(najua utakasirika kuviita hivyo) lakini vingine vina branches mpaka kwenye mabaaa/ hotel. Unategemea kabisa kwa muda tangu vianze vimeshatoa watumishi wa umma waliofikia rank za kuendesha taifa? Pamoja na hayo, kwenye udahili wa vyuo vikuu wanaanza kujaza vichwa vyote pale kwenye hill halafu waliobaki mnatupiwa sendekarawe so obvious pale zimejaa mashine. Usisikitike sana maana dunia nzima utaratibu ni huo huo mashine zina vyuo vyao. Hivi vyuo vingine tuendelee kusindikiza maana hata mwajiri akiona una cheti chuo hata hajawahi kukisikia eti SEKUKOanajiuliza kiko tanzania kweli hiki? Kwa hiyo wapo sana na kwa huu utaratibu wa vyuo vya binafsi wa undergraduate kufundisha undergratuate wenzie wataendelea kufaidi matunda ya nchi. Lakini si lazima kuwa muajiriwa hata biashara inalipa tu.
uliyeleta mada bado mtoto mdogo. hujui hata hivyo vyuo vya kata vimeanzishwa lini. ss ulitegemea wangesoma wapi? kama hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. tafakari.
Tatizo la tanzania wasomi tulio nao wamejaa uoga na umimi. Eti maamuzi yanafanywa na wanasiasa yanatekelezwa na nani? Nani anawashauri hao wanasiasa? Ukishauri ushauri wako ukatupwa kapuni kama mtaalamu unafanya nini? Tuache visingizio wasomi nao wana mchango wao wa kutosha tu kwenye kukwamisha maendeleo ya hii nchi. Hivi unadhani mwanasiasa wa darasa la saba akikuambia kitu kisicho sawa wewe na degree yako ukafyata mkia nani wa kulaumiwa? Nimeyaona sana haya kwenye halmashauri za wilaya madiwani na std 7 zao wananyoosha wataalamu balaaaa. Muwe confident nyie wasomi wetu hakina mtu atachukua elimu yako huko kichwani na kama uko vizuri hata ukiacha kazi kwa kugoma kufanya nje ya proffession utapata kazi ingine tu. Tubadilike tujenge taifa badala ya kujijenga binafsi.
vijana alws munatakiw mujifunz kujenga na kuteta hoja , jibu hoja siyo mipasho
kila la heri kijana, kwa heri. Naamini huwakilishi wahitimu wote wa TEKU na SEKUCO
msomi kutoka "home of intellectuals" ata sema sizani badala ya sidhani, hiki chuo ndio chuo mama kwa hapa Tanzania kama hawaoni kuwa kinazalisha watendaji mabomu japo sio wote basi inchi imeingiliwa na vichaa
kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano
1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu serikalin wamepitia UDSM
2. Wanasheria wanaolitia Taifa hasaran kila uchao kwa kuingia mkenge kwenye mikataba mibovu wamehiti UDSM kitivo cha sheria.
3. Asilimia 80% ya wabunge wa katiba wamepitia UDSM
4.Wakandalasi wanaojenga majengo chin ya viwango na kuua watu wametokea UDSM
5.Wanaofanya biashara ya meno ya tembo wengi wao wametoka UDSM
6.Watuhumiwa wa EPA na ufisad mwingine wamegraduate UDSM
7.Mtandao wa wauza unga wengi wamegraduate UDSM
8.Mawaziri waliojiuzur kwa utendaj mbovu wametoka UDSM
9.Rais wa nchi hii ametokea UDSM
10.Wakurugenz walioua mashirika ya UMMA wametokea UDSM
11.Watoa vibari wote wametokea UDSM
12.Sera ya gesi na ugawaj wa vitaru unaratibiw na wahitim wa UDSM
Mh kama ndo ivyo , wa UDSM munafaid nchi wajamen , siye wa SEKUKO na TEOFIRIKISANJARI imekula kwet mazima aisee
Majaa wakamention midata kibao me nkabak mdomo wazi , nkasema ngoja nkwasilish kwa wenzang niskie michango yao , eti hivi hoja zao zina mashiko au ? na nini kifanyike sas...me niefanya kama WARIOBA wa tume ya katiba , ndo nshawasilisha Rasimu hivyo , haya kak mkuu njo na ww uiponde..
shukuru hata hizo sera mbovu walizotoa udsm kuanzishwa vyuo vya kata ambapo kimojawapo umefanikiwa kusoma la sivyo usingejua hata chuo kikoje. Big up udsm
kwa hiyo umeona (sizani) ndo cha muhimu badala ya kuchangia huoni hiyo ni mistake ndogo hicho ni chuo cha taifa na ndio maana kipo kwenye rank ya universities vya dunia kwanza chuo kinazalisha many profesional kusema kinazalisha watu bomu umejiingiza chaka ingekuwa hivo kisingekuwepo tatizo tulilo nalo ni mifumo mibovu iliyopo na wala sio chuo tatizo kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka wa juu ni tatizo