Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Subiri waje
1690217393835.jpg

Tumeanza fika tuwapigie kelele.
 
Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maake kwanza nichekeeeee

Sasa dada Maua ungeweka picha yako kusindikiza uzi ili wajue km hatupo hivyo
 
Back
Top Bottom