Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Tena sio kwamba hawana pesa tu mmmmmmh sjui pia kuitwako 7kwa7 hawajui hata[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Khaaaa! Ipo hivi..usipojiamini huaminiki.....so jifunze kujiamini binti!...halafu usifananishe hadhi za watu!!!...Panda hata VX ntalipa
Haya tupia google map nafika chaap. Upanga sehemu gani kwanza? Naita uber XL kabisa. Kutokea bunju itakua kama 30k tuu
 
Back
Top Bottom