Njoo Kama upo serious ...money means nothing to me!Nakuja kumchukulia
Wach weee. Tuma ya uber kwanz nione kama pesa ipoNjoo Kama upo serious ...money means nothing to me!
Khaaaa! Ipo hivi..usipojiamini huaminiki.....so jifunze kujiamini binti!...halafu usifananishe hadhi za watu!!!...Panda hata VX ntalipaWach weee. Tuma ya uber kwanz nione kama pesa ipo
Naibiwa huku naona! Hii ni mbaya sana.Wach weee. Tuma ya uber kwanz nione kama pesa ipo
Haya tupia google map nafika chaap. Upanga sehemu gani kwanza? Naita uber XL kabisa. Kutokea bunju itakua kama 30k tuuKhaaaa! Ipo hivi..usipojiamini huaminiki.....so jifunze kujiamini binti!...halafu usifananishe hadhi za watu!!!...Panda hata VX ntalipa
Sasa wewe matumizi hutoi umekamatwa na mchepuko mi nifanyeje?Naibiwa huku naona! Hii ni mbaya sana.
Endelea kula ukoko Mzee!Naibiwa huku naona! Hii ni mbaya sana.
It's so funny...only 30k? What's wrong with u lady? Come on! Take it!Haya tupia google map nafika chaap. Upanga sehemu gani kwanza? Naita uber XL kabisa. Kutokea bunju itakua kama 30k tuu
Jaman wewe sio wa kukupa. Wewe ni wa kujichukulia. Usisubili nikupe! Wewe ndo mama mjengo, changu ni chakoSasa wewe matumizi hutoi umekamatwa na mchepuko mi nifanyeje?
Sasa Upanga kubwa niko njiani ivooIt's so funny...only 30k? What's wrong with u lady? Come on! Take it!
Ukija tofauti na Huyo hapo kwa Avatar nakunanii kama kama! Kwanini uwe muongo bwana!.....oky ni Hivi, pitia njia yoyote hadi ufike Maeneo ya Kisutu then nishtue PMSasa Upanga kubwa niko njiani ivoo
Basi kesho usisahau kuniletea kadi yako ya bank ofisini..Jaman wewe sio wa kukupa. Wewe ni wa kujichukulia. Usisubili nikupe! Wewe ndo mama mjengo, changu ni chako
Basi siji. Ngoja nigeuzeUkija tofauti na Huyo hapo kwa Avatar nakunanii kama kama! Kwanini uwe muongo bwana!.....oky ni Hivi, pitia njia yoyote hadi ufike Maeneo ya Kisutu then nishtue PM
Never mind. Labda kama kuna lingineBasi kesho usisahau kuniletea kadi yako ya bank ofisini..
Wanawake wa Dar!Basi siji. Ngoja nigeuze
Umeonana na watu wangapi humu ndani mkuu....Basi siji. Ngoja nigeuze
Hilo tu bbyNever mind. Labda kama kuna lingine