[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani vitu vizuri hata kwa sisi wazee,
Ubarikiwe sana na uwe na moyo huohuo Mzigua eeh!
Kuanzia leo utakuwa rafiki yangu mkubwa sanaaaaaa!
Anatoka nje ya mada Malcom Lumumba unazeeka vibaya babuAkiweka namuombea laki mzee wangu umuongezee. Cc Demiss
Hahahaha Demiss hataki kabisa kusikia hii!Akiweka namuombea laki mzee wangu umuongezee. Cc Demiss
Amen mzee wanguJamani vitu vizuri hata kwa sisi wazee,
Ubarikiwe sana na uwe na moyo huohuo Mzigua eeh!
Kuanzia leo utakuwa rafiki yangu mkubwa sanaaaaaa!
Aaaah jamani, unanionea bure tu!Anatoka nje ya mada Malcom Lumumba unazeeka vibaya babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amen mzee wangu
Keshanikabidhi laki yako ujue weka picha nikutumie fasta. Mzee hatanii ujueAnatoka nje ya mada Malcom Lumumba unazeeka vibaya babu
Anaona unamtafutia sababu usimpe hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha Demiss hataki kabisa kusikia hii!
Hahahah naomba faranga bhn
Hawana makapuku watupu hawana madorali masikini wakubwaaa
Nasubiria miamala
Nihongeeee
Tanzania kuna Raw Bank au una $ account BOA bank ?tufanye muamala? [emoji23] [emoji23]Naomba faranga
Mekutumia jinaTanzania kuna Raw Bank au una $ account BOA bank ?tufanye muamala? [emoji23] [emoji23]
ama MTU alete jina akavute Western Union [emoji12] [emoji12] ,tupunguze kelele,ili mambo mengine yaendelee
Mzee mwenzangu ,nakuaminia hutoniangushaJamani vitu vizuri hata kwa sisi wazee,
Ubarikiwe sana na uwe na moyo huohuo Mzigua eeh!
Kuanzia leo utakuwa rafiki yangu mkubwa sanaaaaaa!
Anaona unamtafutia sababu usimpe hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhahaha,Sitaki nasema tena sitaki mambo ya Husna the boss lady