Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Anaona unamtafutia sababu usimpe hela [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahahaha,Mama
Mkono mtupu haulambwi.
Picha inasaidia watu wafanye Feasibility Study kabla ya Investment.....
Hii ya kuweka pesa tu bila kujua inakoenda haina tofauti na kucheza BIKO
 
Back
Top Bottom