Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ada nuksi ,ni kweli huwa hairudi MkuuWatu wanahonga pensheni sembuze kodi ???
Kitu ambacho hutakiwi kuhonga ni Ada aisee, ile hela sijui ina nini ile.
Ukihongaga huwa hairudi mzeee hahahahahahahahah!
HapanaHahahahaha mlishawahi honga nn
Marahaba dogo mzima weweShikamoo dada
Marahaba dogo mzima weweShikamoo dada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaha,
Kuna jamaa yangu moja alipataga pensheni bwana akakimbia hadi nyumbani kwake kwenda kuishi na kimwanafunzi cha chuo. Akakijengea nyumba kijijini kwao, tulivyomuuliza mzee mbona unatumia vibaya akatujibu kwamba anafanya hivyo kwasababu anakaribia kufa na mpaka zinaisha atakuwa keshakufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na sifungui tutapambana na hii hii..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe mbona wasukuma sio bahili jamaniNipige hela mpaka nikiuza ng'ombe wangu mnadani 🙂..
Acha tu kaka angu mambo yanabana mpaka kuingia jf nasahau vipi lakini uko poaOh Lord, miss you too my Dada Binamu!! Hivi kwanini unaadimika hivi... unanitia upweke ujue!!!