Akileta ujanja tunampeleka chuo kikuu kabisa akaone wanaozaliwa na fani zao! [emoji2]Umuache my darling wangu
Watu wanataka dolari kijana; kama wangetaka vifua vya kunenepeshea gym, wangeenda kwa Mwarabu Fighter!!!Saa hizi nikibeba chuma naweza kufia Gym kabisa na nikamuachia Mzandiki chige the Golden Goose.
Mimi nataka niwepo hapa mpaka pale Chige atakapoomba Pooo
chamdeko ushatoka huko migodini?..Mburaaaah
Jambazi kuu wewehahahaaa mimi nimefanyaje sasa
hahah sikuwahi lipa ontyme mpaka week 1 before ndio naanza itafuta!..Hapo asset za chumba zikiwa sokoni!.Watu wanahonga pensheni sembuze kodi ???
Kitu ambacho hutakiwi kuhonga ni Ada aisee, ile hela sijui ina nini ile.
Ukihongaga huwa hairudi mzeee hahahahahahahahah!
Mani bahili huyo tumuwekee vikao anatuchafua!..😡[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe mbona wasukuma sio bahili jamani
hebu nitumie niiangalie tatizo gani hiyo picha labda umeikosea utumaji!.Mbona mi kanigomea sasa. Na picha nimemtumia imshawishi. Au kanionaje sijui
Chige na ubahili wapi na wapi Mzigua?! Nimekuambia PA wangu atawasiliana na wewe, ukiona kimya, basi labda bado yupo na Aliko... yule mfanyabiashara wa Nigeria ambae kuna issue kaomba nimsaidie!!Hajui bahili hatakiwi kufaidi vitu vizuri eeeh. Sema kwa nilivyomlilia pm lazima dolare zisome na kwangu leo
hahaaJambazi kuu wewe
Mzee kama huyu anatakiwa amalize uzee kwa raha. Tukifungiana ndani hataenjoy maisha. Inabidi aende viwanja akaone na watoto wazuri wazurihuyo mdada na party ni hatare angalia usije maliza pensheni yako mzee w kufa na tai shingoni!..
Hahahaahhaaaa...hebu nitumie niiangalie tatizo gani hiyo picha labda umeikosea utumaji!.
Mbinu yako nimeistukia Demiss yani hapo mtu akitaka kushindana na kauli yako lazima mfuko utikisike. Ni mtego hhaha mtegoooJaman major 1 acha hizooo
Nini tena Demiss?! Unajua sipendi kuwaudhi watoto wazuri manake nikifanya hivyo, moyo wangu utajihisi kana kwamba nimetenda makosa 6 ya jinai kwa mpigo!Ila ulichonifanyiaaa
Sawa tajiriChige na ubahili wapi na wapi Mzigua?! Nimekuambia PA wangu atawasiliana na wewe, ukiona kimya, basi labda bado yupo na Aliko... yule mfanyabiashara wa Nigeria ambae kuna issue kaomba nimsaidie!!
hajaandika wosia huyo subiri subir kidogo basi!..Mzee kama huyu anatakiwa amalize uzee kwa raha. Tukifungiana ndani hataenjoy maisha. Inabidi aende viwanja akaone na watoto wazuri wazuri