Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hajui bahili hatakiwi kufaidi vitu vizuri eeeh. Sema kwa nilivyomlilia pm lazima dolare zisome na kwangu leo
Chige na ubahili wapi na wapi Mzigua?! Nimekuambia PA wangu atawasiliana na wewe, ukiona kimya, basi labda bado yupo na Aliko... yule mfanyabiashara wa Nigeria ambae kuna issue kaomba nimsaidie!!
 
Ila ulichonifanyiaaa
Nini tena Demiss?! Unajua sipendi kuwaudhi watoto wazuri manake nikifanya hivyo, moyo wangu utajihisi kana kwamba nimetenda makosa 6 ya jinai kwa mpigo!
 
Chige na ubahili wapi na wapi Mzigua?! Nimekuambia PA wangu atawasiliana na wewe, ukiona kimya, basi labda bado yupo na Aliko... yule mfanyabiashara wa Nigeria ambae kuna issue kaomba nimsaidie!!
Sawa tajiri
 
Back
Top Bottom