[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nitahakikisha bi mkubwa anaishi vizuri na wosia ataandikahajaandika wosia huyo subiri subir kidogo basi!..
picha size A4 nitumie niirekebishe af nitakupa uitume sasa!!..Hahahaahhaaaa...
Bora basi angekuwa na hao ng'ombe! Sipendi fitina mimi; mwenyewe huyu hapa:Hahaahahahaaa. Ndo maana niliomba msamaha kaka. Nasubiri mzee wangu Malcom Lumumba auze ng'ombe tule maisha.
Yaani badala ya kukuletea mkwanja, anataka kukukeshea gym...huyu jamaa vipi huyu Mzigua??!! I hope unafahamu kwamba ma-loser wote wa mjini gym ndio kimbilio lao!!Saa hizi nikibeba chuma naweza kufia Gym kabisa na nikamuachia Mzandiki chige the Golden Goose.
Mimi nataka niwepo hapa mpaka pale Chige atakapoomba Pooo
NYUMBA hapana,ila kiwanja naweza hongaAkikupenda tu, lazima akujengee nyumba!
Hhahahah yule jamaa sijui mchagga wa wapi aisee!
Dada nini bhana, achana na Malcom Lumumba, ni zee la fitina hilo!! Afu unapoongea na mimi punguza kulegeza sauti basi... ujue we ni dada binamu hivyo; ohooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka chige kumbe anko Malcom Lumumba alisema kweli una undugu na wakinga
Dah... yaani hiyo kaka umeitamka vizuri ile mbaya! Wakati unaitamka ulikuwa unakula kashata nini?!Nasubiria kaka
Huu ni utapeli wa kiwango cha standard gauge huu!! Hey Mzigua90, I hope unafahamu jinsi ninavyokujali! Kama ndivyo, basi huyu mtu mwambie achukue karatasi kisha aandike Malcom Lumumba halafu aibandike ubavuni mwa ng'ombe MMOJA TU kisha apige picha atuwekee hapa!!Naam, naaaam!
Kesho naenda na Wick kuuza ng'ombe zangu mnadani aiseee!
Pensheni nayo tutakula wote maana imebaki miaka michache.....Umesikia mama ehh???
Kule ndio umeuchuna sio!Ni heshima tu wakuu wangu
Nataka vyote [emoji6][emoji6][emoji23] Hivi kuna mwenye akili ana hela, wote tunakuaga makapuku basi tu ni mabingwa kujivimbisha!..
Eti ipi bora kojozwa umepanda phoenix au usikojozwe utembelee Passo π
Aaahh me nishatangaza nataka kuwa ustaadh nafaa sana!..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nitahakikisha bi mkubwa anaishi vizuri na wosia ataandika
upate vyote Mungu mjomba akoo!.. πNataka vyote [emoji6][emoji6]
Ahahahahahahupate vyote Mungu mjomba akoo!.. π
Kwa hiyo rangi yako ya dhahabu usijali kojozwa kuna maisha baada ya kukauka ujue!.. πAhahahahahah
Vyote km vipi?Nataka vyote [emoji6][emoji6]