Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hahaahahahaaa. Ndo maana niliomba msamaha kaka. Nasubiri mzee wangu Malcom Lumumba auze ng'ombe tule maisha.
Bora basi angekuwa na hao ng'ombe! Sipendi fitina mimi; mwenyewe huyu hapa:
Saa hizi nikibeba chuma naweza kufia Gym kabisa na nikamuachia Mzandiki chige the Golden Goose.
Mimi nataka niwepo hapa mpaka pale Chige atakapoomba Pooo
Yaani badala ya kukuletea mkwanja, anataka kukukeshea gym...huyu jamaa vipi huyu Mzigua??!! I hope unafahamu kwamba ma-loser wote wa mjini gym ndio kimbilio lao!!
 
Naam, naaaam!
Kesho naenda na Wick kuuza ng'ombe zangu mnadani aiseee!
Pensheni nayo tutakula wote maana imebaki miaka michache.....Umesikia mama ehh???
Huu ni utapeli wa kiwango cha standard gauge huu!! Hey Mzigua90, I hope unafahamu jinsi ninavyokujali! Kama ndivyo, basi huyu mtu mwambie achukue karatasi kisha aandike Malcom Lumumba halafu aibandike ubavuni mwa ng'ombe MMOJA TU kisha apige picha atuwekee hapa!!
 
Sema Shida yako usaidiwe ,,,kujua kiasi cha pesa cha mtu haikusaidii kitu.


Hata kama unataka mtoko sema tu!!
Utafatw Popote ulipo !!


Wenye pesa wamo humu,,,makapuk tumo,,,wapenda bata wapo,,,kilA kitu kimo.
 
Back
Top Bottom