Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Hana hata shilingi anatumia freebasics na facebook ya bureMshana wako kwani anazo ?
Mimi sio mwanaume,Unamsingizia mme wangu eeeh wewe unazo
Mkono mtupu haulambwi aisee...Hahaahaha hiyo siyo sababu sababu ni kutuma madorali ili niamini unapesa huko unatoka nje ya madaaa
Wewe niungishe tu biashara yangu inatoshaHornet mambo!
Weka namba yako ya simu nikufanyie muamala basi....
Ewaaaah,naaam naaaam!Ngoja nimfate pm hhah watu kama hao wanafaaa hawana porojo ni vitendo tuuu
Ngoja nimwite hapa Waziri wa KaskaziniEwaaaah,naaam naaaam!
Usisahau kupeleka na picha yako kama GUARANTEE ya Muhamala.
Kwani mimi nimesema nakupa bure jamani ???Wewe niungishe tu biashara yangu inatosha
Pesa ya bure siiitaki
Bado upo chuoo
Mimi mkulima wa miwa huku Kagera pesa ntapata pale miwa ikizaaa.Hahahahha sasa kaka hapo unakosea kabisa yani unatumia nguvu nyingi kujitetea ili niamini unazo au huna hebu dondosha 10 kwenye mpesa yangu
Inaitwa Quid pro quo,[emoji23][emoji23][emoji23]jaman nipe nikupe khaaaaa
Hiyo ya kuweka picha itabid uanzishe uzi wakeee alafu nitakuja niweke picha uweke madoraliMimi mkulima wa miwa huku Kagera pesa ntapata pale miwa ikizaaa.
Sasa hivi niko juu ya mawe, lakini ukiweka picha naweza kwenda hata kukopa na nkakutumia.
Sasa kumbe unatuma Mpesa Kisha nazilipia?Kwani mimi nimesema nakupa bure jamani ???
Sijuagi kutoa pesa za bure mimi...Hata hivyo unauza bidhaa gani ndugu yangu tuje kununua ???
Mimi ninazo tu zangu z kutumia siyo za kutumia na wadangaji kama "demise".Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?
Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.
Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.
Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.
Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.
Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
Haina haja ya uzi, anayetaka aende PM tu!Hiyo ya kuweka picha itabid uanzishe uzi wakeee alafu nitakuja niweke picha uweke madorali