Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Yaani ana account Llyods Bank, unaifahamu wewe ???
Hilo ni bonge la Bank kongwe liko Uingereza....
Weka namba yako basi upate msaada wa chapchap
Ngoja nimfate pm hhah watu kama hao wanafaaa hawana porojo ni vitendo tuuu
 
Hahahahha sasa kaka hapo unakosea kabisa yani unatumia nguvu nyingi kujitetea ili niamini unazo au huna hebu dondosha 10 kwenye mpesa yangu
Mimi mkulima wa miwa huku Kagera pesa ntapata pale miwa ikizaaa.
Sasa hivi niko juu ya mawe, lakini ukiweka picha naweza kwenda hata kukopa na nkakutumia.
 
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?

Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.

Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.

Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.

Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.



Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
Mimi ninazo tu zangu z kutumia siyo za kutumia na wadangaji kama "demise".

Yabaki mapenzi tu, tusileteane ujambazi...! Unapenda pesa zangu nami nazipenda pia...

" sasa mwanaume wa hivi wa nini??

Ndivyo mnavyosema..

Baki na hamu zako...

Ata panton ina staff...

Unamwambia nani??...
 
Hiyo ya kuweka picha itabid uanzishe uzi wakeee alafu nitakuja niweke picha uweke madorali
Haina haja ya uzi, anayetaka aende PM tu!
Akija anafanya yafuatayo:
1.Unataja jina lako kamili,
2.Unataja marital status yako,
3. Unaweka na picha yako inayoonyesha mwili mzima.


Unatumiwa dorali mara moja, Mimi, Wick na chige tutafadhili hiyo Charity Event
 
Back
Top Bottom