Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Sitaki kuamini kuwa humu wanaume hamna madorali eti?
Hahahah mbona mimi najua kuna watu wanapesa na madorali lakini napata malalamiko kuwa hamna pesaa?

Hebu watokeee member wa5 wa kiume wanithibitishie muamala kwenye account yangu ya bank leooo niamini kweli Jf kuna matajiri wengi na hamna mbwembwe.

Najua wale wenye maneno mengi hata hawamiliki Account za Benki hata chapchap ya NMB hawana.

Leo tunapinga kwa vitendo siyo maneno jamani mimi siwezi kuwasifia mna madorali wakati hata sina uthibitisho wa muamala wa madorali.

Msipothibitisha basi wanaume wa Jf ni makapuku sitaki kuamini na nyie mnakubali hamna helaa aiseee hebu nikomesheni kwa kunitumia madorali ili watu wajue matajiri mapedesheee yapo Jf.



Najua matajiri wapo wengi Jf muwe na jumapili njema hakika msipothibitisha kuanzia leo wanaume wote wa Jf ni makapuku kasoro mganga wangu Jr.
 
Taja njia unazoweza kutumiwa pesa kutoka nje kuja Tanzania tofauti na kupitia benki.Nasi tuweke heshima zaidi ya jamaa yenu Humble na Engineer wake
Bank ndo kila kitu bhn hebu weka madorali hapo watu wapagaweee
 
Back
Top Bottom