Ah!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!Anzia kwangu basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!Anzia kwangu basi
Nifikirie jamani. Usiku umepita bila bila leoAh!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!
hahahaaHahahah ngoja tusubilie I'd yako mpya
Bwana mdogo hajutiii kabisaHuyo ndo anajilipua sasa, sio mie nikimaliza naanza fikiria ningefanya tofauti pale [emoji23]
Duuh naona tycoon umefika sasa....Ah!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!
Usijali utabaki na Anko Malcom..nikufundishe Kichina!hahaaaa"" daaahh mnakwenda" Pm" mimi nitabaki na nani"" sasa ""??
What did you just say?! Kabla sijaona hii post, nilisema ningekufikiria lakini kwa udhalilishaji huu ulionifanyia hapa, NO WAY!!! Unaniwekea hivyo v-MPesa, mara Tigo Pesa sijui nini na nini... yaani unaniwekea banking system ya wauza mchele akina Malcom Lumumba mimi!!!@Chige the don hatanisahau katika ufalme wake. Nishamtumia namba ya mpesa airtel money tigo pesa na z pesa account ya crdb equity na Barclays nasubiria tu atakapotuma. Ntakupa mrejesho wifi
Usijali utabaki na Anko Malcom..nikufundishe Kichina!hahaaaa"" daaahh mnakwenda" Pm" mimi nitabaki na nani"" sasa ""??
Hahahahaaaa. Nisamehe sponsorWhat did you just say?! Kabla sijaona hii post, nilisema ningekufikiria lakini kwa udhalilishaji huu ulionifanyia hapa, NO WAY!!! Unaniwekea hivyo v-MPesa, mara Tigo Pesa sijui nini na nini... yaani unaniwekea banking system ya wauza mchele akina Malcom Lumumba mimi!!!
Hahahahaha,What did you just say?! Kabla sijaona hii post, nilisema ningekufikiria lakini kwa udhalilishaji huu ulionifanyia hapa, NO WAY!!! Unaniwekea hivyo v-MPesa, mara Tigo Pesa sijui nini na nini... yaani unaniwekea banking system ya wauza mchele akina Malcom Lumumba mimi!!!
Hilo bit alonichimba nimegundua mzigo niliomtwisha ni mzitoHahahahaha,
Naona umekuja kunileta fitna hapa...
Halafu ujue totoz zinapendaga vibabu kama sisi...Wanasema tunajua kulea!
Kaka chige miss u kaka angu [emoji8]Ah!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!
Si ndio ukweli huo hearlyhahahaa
Usijali utabaki na Anko Malcom..nikufundishe Kichina!
Kaka chige teh teh teh teh !Kaka chige miss u kaka angu [emoji8]
chige ana madorali kweli, sema tu ana PhD ya Ubahili...Hilo bit alonichimba nimegundua mzigo niliomtwisha ni mzito