Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mimi siyo bahili, nina moyo wa kusaidia sana mabinti wadogo.Hajui bahili hatakiwi kufaidi vitu vizuri eeeh. Sema kwa nilivyomlilia pm lazima dolare zisome na kwangu leo
Basi wewe unanifaa. Na mimi napenda kulea wazee hasa wasio na mkono mfupi. Nitakupenda mpaka utatamani urudi miaka 30 tuenjoy vizuri. Kwanza chige kala anguIla mimi siyo bahili, nina moyo wa kusaidia sana mabinti wadogo.
Huwa nawainuaga sana kiuchumi
Ila mimi siyo bahili, nina moyo wa kusaidia sana mabinti wadogo.
Huwa nawainuaga sana kiuchumi
I'm really a very nice person...Anko usinisahau kwenye ufalme wako
Itakua masharti ya mganga si unajua wengi hela zao zinatokaga wapiUlivyotaja wakinga umenikumbuka kitu hawa wakinga ni nature yao ubahili khaaa
Demiss una nn lakin[emoji23][emoji23][emoji23]Tuma kwanza M PESA ndo nitaamini una ATM CARD
Anhaaa,Ulivyotaja wakinga umenikumbuka kitu hawa wakinga ni nature yao ubahili khaaa
Naam, naaaam!Basi wewe unanifaa. Na mimi napenda kulea wazee hasa wasio na mkono mfupi. Nitakupenda mpaka utatamani urudi miaka 30 tuenjoy vizuri. Kwanza chige kala angu
Daaah,Nimesubiri na nakuombea ng'ombe wanunuliwe wote kesho tule pensheni yetu.
Hahahaha,Makapuku hawa watoe wapi helaaa njaaa tupu