Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaaa.. wazee mnapenda furahaDaaah,
Huu moyo wako wa ukarimu utakuleta matunda mengi sana kutoka kwangu!
Ha haaa wacha uchoyo rusha muamala huo banaIli utuchune? Binafsi hunipati ng'o..
Mzigo upo sema hatutaki kuugusa maana kipindi hichi hela ikitoka hairudi
Tusipopenda furaha tutakufa haraka bwana!hahahahahaaa.. wazee mnapenda furaha
Na ndo maana tupo kina sisi ili kuwapa furaha mle uzee salamaTusipopenda furaha tutakufa haraka bwana!
hahaaa" ... sawa uncleUsijali utabaki na Anko Malcom..nikufundishe Kichina!