Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hivi unajua udangaji wa badoo mnashusha hadhi ya jf kweli unatumia cheap means kama hizi kutapeli watu kwa kisingizio cha jukwaa la chitchat!.hivi ukitumiwa hela au hayo madolari utarudisha? Ugumu wa maisha tafuta njia za kupambana nao!.
Sio kudanga jf
Nawashauri vijana wenzangu epukeni vioja kama hivi
Nimecheka sana hii comment
Umeandika VIOJA -VIROJA
 
Ah!! Una bahati mbaya sana wewe... badala ya kuweka order wakati nina mizuka, wewe unaweka order wakati mizuka ya kuhonga ishatulia!! Anyway, labda nitakufikiria... Demiss mwenzako hivi sasa anacheka kidola dola tu!!!
Mhg nakwambia hivi sitakuacha salama mxeeeww
 
Back
Top Bottom