Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hivi Mzigua kwanini unapenda kunikosea bhana?! Mara MPesa wakati unafahamu kabisa hayo vimihamala vya MPesa ni vya wauza mchele... au siku hizi kuna MPesa Forex Account?!

Hapa tena, oh! Eti unanibembeleza! Yaani unataka nionekane bahiri sio... kwamba, sifanyi money transfer hadi nibembelezwe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka chige kumbe anko Malcom Lumumba alisema kweli una undugu na wakinga
 
Hata mama watoto wangu hajui kwenye account yangu nina tsh ngapi. Halafu bora ungeuliza utajiri tunaomiliki si fedha benki.

Mtu anaweza kukuonyesha account ina 100m ila hata nyumba hana. Mwingine akakuonyesha 20m ila ana nyumba kibao, magari ya kutosha, na vitega uchumi vingi tuu, ukakimbilia kumshusha.

Haya edit hiyo title tupost vibanda vyetu humu
 
Hahaha, heri wewe uko nanjilinji niliko mm,kwa mbali nasikia tu ,mitutu maramamae ,cjui wana birthday huko
Hahhaha pole sana yaani mm nilivyo muoga nawaza tu ningekuwa nipo sehem hizo sijui ingekuwaje
 
Hombolo kuna chuo hapo nimesahau jina ,pia kuna kijiji cha wenye ukoma na bwawa kubwaaa
Sawa nipo hostel si wajua nasomea utendaji wa kijiji njoo tuangalie Tamthiliya
Screenshot_20180813-220936.jpg
 
Hivi Mzigua kwanini unapenda kunikosea bhana?! Mara MPesa wakati unafahamu kabisa hayo vimihamala vya MPesa ni vya wauza mchele... au siku hizi kuna MPesa Forex Account?!

Hapa tena, oh! Eti unanibembeleza! Yaani unataka nionekane bahiri sio... kwamba, sifanyi money transfer hadi nibembelezwe!!
Hahaahahahaaa. Ndo maana niliomba msamaha kaka. Nasubiri mzee wangu Malcom Lumumba auze ng'ombe tule maisha.
 
Back
Top Bottom