Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

Hii ni inchi upuuzi wenu wa mpira pelekeni uko ! Mwacheni rais avae kile anachotaka nyinyi mkiweka katika ofisi zenu msipoweka hamna umuhimu wowote
 
Hii ni inchi upuuzi wenu wa mpira pelekeni uko ! Mwacheni rais avae kile anachotaka nyinyi mkiweka katika ofisi zenu msipoweka hamna umuhimu wowote
Hayo ni mawazo yako wewe, mwanasiasa mkubwa anawahitaji watu wote, huwa wanafurahishwa na ushindi mkubwa wa kishindo. Mwanasiasa makini anaufahamu ukubwa wa simba na yanga, asingependa kuzijaribu timu hizi kwa lolote. Ndio maana Rais JPM ilimlazimu kuinhia na jezi yenye rangi za simba na yanga wakati yeye ni mpenzi wa simba damu, msimpotoshe rais wetu mgeni kwa maslahi yenu. Mnataka akose sapoti ili sijui iwe nini
 
IMG-20210326-WA0046.jpg
 
Nyekundu ni rangi ya ukombozi!! Inawakilisha damu ya Yesu iliyomwagika msalabani ilí kutukomboa kutoka katika utumwa wa dhambi. Kwa hiyo siku hizi ni kula Bata tu coz yesu alikufa kwa dhambi zetu!!!?? Watu wa dini mnashida sana
 
Rangi nyekundu ni rangi ya Mamlaka. Maraisi wanavaa Tai nyekundu, wanakalia Kiti chekundu na pia wanapofika Katika milki ya mamlaka hutembea juu ya Zuria Jekundu.

Ushalioa wapi Zuria la Njano au Kijani linawekwa ili Raisi, Mfalme au Malkia atembee juu yake ?
Au Tai ya Kijani au Njano, au Kiti cha Kimamlaka.
Hiyo Rangi aliwachaguliaga nani kwani ?
Si muibadilishe
 
Hawa yanga kuna sehemu wanakwama sana, Kwanza kitendo cha kugomea nembo kilikuwa cha kipuuzi sana ktk dunia ya ushindani wa ki biashara ila vodacom nao kuufyata niliwaona kama hawako serious na biashara yao! Picha ya rais haina uhusiano wowote na simba au kuishusha yanga
 
Back
Top Bottom