Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo yako wewe, mwanasiasa mkubwa anawahitaji watu wote, huwa wanafurahishwa na ushindi mkubwa wa kishindo. Mwanasiasa makini anaufahamu ukubwa wa simba na yanga, asingependa kuzijaribu timu hizi kwa lolote. Ndio maana Rais JPM ilimlazimu kuinhia na jezi yenye rangi za simba na yanga wakati yeye ni mpenzi wa simba damu, msimpotoshe rais wetu mgeni kwa maslahi yenu. Mnataka akose sapoti ili sijui iwe niniHii ni inchi upuuzi wenu wa mpira pelekeni uko ! Mwacheni rais avae kile anachotaka nyinyi mkiweka katika ofisi zenu msipoweka hamna umuhimu wowote
Nyekundu ni rangi ya ukombozi!! Inawakilisha damu ya Yesu iliyomwagika msalabani ilí kutukomboa kutoka katika utumwa wa dhambi.
Nyekundu ni rangi ya ukombozi!! Inawakilisha damu ya Yesu iliyomwagika msalabani ilí kutukomboa kutoka katika utumwa wa dhambi. Kwa hiyo siku hizi ni kula Bata tu coz yesu alikufa kwa dhambi zetu!!!?? Watu wa dini mnashida sana