Eti Rayvan, Asley,Beka na Harmonize nani ana sauti nzuri kwa kuimba.

Nitajua nani ana sauti nzuri siku wakifanya live performance ila hizo sauti za baada ya mixing huwezi jua nani mkali...
 

Wewe ni mtu mzima halafu ndio umeleta mada ya kushindanisha sauti ili kupata mshindi?..halafu mshindi akipatikana utarudi kwenye kijiwe chako kubishana??..au nyie ndio wale zamani mlikua mnaitwa "mtu mzima hovyo"
 
Beka is underrated
Dogo yuko poa sana sema tu watu hawamuelewi.

Sent from my Huawei mate 9
 
Huyo beka anaimba ka anakunya
 
Sio nyota mkuu sema alikua hajapata nafasi ya kuonesha kipaji chake. To me he is the champion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…