Eti Rayvan, Asley,Beka na Harmonize nani ana sauti nzuri kwa kuimba.

Eti Rayvan, Asley,Beka na Harmonize nani ana sauti nzuri kwa kuimba.

mimi naona wote tu wako vzr saaana, ndo mana wanakimbiza kwa sana kwenye game ya bongofleva kwa sasa, Beka hakuna alietegemea kwamba ni mkali kiasi hicho lakini akaja kutushanga wengi baada ya kutoa single ya nibebe ooh that song jamani, nikiwa narudi nyumbani mtaa mzima unajua narudi na nikiwa natoka wote watajua natoka maana sauti nnayoweka acha
 
Back
Top Bottom