Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

Hii tabia siipendi.

Nani kasema ni kumwagiana maji, mambo ya kubatizana yanaanzia wapi.
Mkuu bora maji majuzi nimeingia wilayani kwangu katika tembea tembea nikakaa na wana ghafla wakaja vijana wa garage wanamuimbia mwenzao na kummwagia oil chafu tena ile ya magari ya diesel alooo dogo hafai nikajiuliza anaenda kuoga na pakiti ngapi za sabuni ya unga?

Hii michezo ya vijana ni kaujinga fulani siipendi kabisa aliepo kwenye kampani yangu kama anafurahia huo upuuzi namtenga maana umri mnaweza kuwa sawa ila akili akawa alibaki nyuma miaka 10
 
Kuna wengine wanabebana na kutumbukizana kwenye maji ya matope, wengine maji ya ukoko, wengine pombe, wengine wamefika mbali zaidi wanamwagiana maji machafu hadi siku za ndoa zao,

Kwa kweli sijauelewa huu utamaduni ila nashukuru sipo kwenye circle ya kijinga.
 
Nimezoesha wanetu tukae tuombe dua, tuseme asante mungu, asante baba. Asante mama, tumuombee mwenzetu aliyeongeza umri. Sio keki, sio maji, sio party, na nimewaasa, kwamba hata ukimaliza la saba, no party lkn dua, ukimaliza form 4 dua sio party, ukimaliza chuo kikuu dual na sadaka naomba mniige tubadili jamii na vizazi.

Kama mungu amekubariki kidogo nenda na watoto wako centre of orphan wawaaone wenzao walio marginalised watajifunza kitu. I usually do that, join me guys
 
Asante na hongera sana mama Edina, wewe ni mama bora.
 
Back
Top Bottom