Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

Huku kijijini kwetu hayo mambo hatuna, sijui ndo ni ushamba ama tumechelewa kujua.
 
Nimezoesha wanetu tukae tuombe dua, tuseme asante mungu, asante baba. Asante mama, tumuombee mwenzetu aliyeongeza umri. Sio keki, sio maji, sio party, na nimewaasa, kwamba hata ukimaliza la saba, no party lkn dua, ukimaliza form 4 dua sio party, ukimaliza chuo kikuu dual na sadaka naomba mniige tubadili jamii na vizazi.

Kama mungu amekubariki kidogo nenda na watoto wako centre of orphan wawaaone wenzao walio marginalised watajifunza kitu. I usually do that, join me guys
Huwanunulii keki watoto wako!!?
 
Back
Top Bottom