Shuku_
Senior Member
- Sep 26, 2019
- 174
- 216
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani?
Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa.
Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata mlioni 5 na bado usiitwe TAJIRI!
Pia kuna watu wanawaita hawa wamiliki wa MABASI nchini akina BM na wengineo kuwa ni MASKINI na sio MATAJIRI!
Sasa hapo ndo nnapo changanyikiwa, yaan MATAJIRI wanaitwa MASKINI na MASKINI wanabaki kuwa hivyo hivyo na jina lao.