Kulingana na philospohy za Robert Kayosoki "Rich Dad Poor Dad" "4 Quadrants"" Etc ....Naomba kufahamu tofauti ya Rich and Wealth
Inategemea na viwango kuanzia kijiji mpaka kimataifaHabari zenu wakuu ππ½ ππ½
Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani?
Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa.
Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata mlioni 5 na bado usiitwe TAJIRI!
Pia kuna watu wanawaita hawa wamiliki wa MABASI nchini akina BM na wengineo kuwa ni MASKINI na sio MATAJIRI!
Sasa hapo ndo nnapo changanyikiwa, yaan MATAJIRI wanaitwa MASKINI na MASKINI wanabaki kuwa hivyo hivyo na jina lao.
View attachment 3195306
Tajiri ukiweza timiza ndoto zakoHabari zenu wakuu ππ½ ππ½