Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

huu mradi ukifa raia hawatoaelewa kabisa

Ova
 
Kumbe taarifa zote za treni kukwama mbugani kwa masaa kadhaa zilizoripotiwa tangu safari za Morogoro na Dodoma zianze ni za kutunga?
Kukwama kwa treni kisa ngedere na bundi ni uongo?
Kisingizio cha watu kuhujumu miundombinu ya reli pia ni uongo ulioshadidiwa na wajinga?

Sababu hasa ya kuendelea kuishi in denials ni nini? Badala ya kuyafanyia kazi mapungufu mnaamua kukaza shingo na kuita watu kuwa wajinga? Hiki kiburi chimbuko lake ni nini? 😲
Upungufu wote unafanyiwa kazi na zile habari za kugushi zinakanushwa ingawa ni vigumu kuweza kuwazuia wazushi wasiandike habari za kutunga mitandaoni.

Huu uzi upo ukurasa wa kumi hivi sasa lakini habari inayojadiliwa ni FAKE, ndio uone ugumu wa kuzuia usambazaji habari potoshi.
 
BBC wenyewe walireport jana
Iliandikwa but kitaaluma ilitakiwa tuoneshwe ni nani aliyesema hili. But taarifa haikuwa na msemaji hivyo kama wanajf tulitakiwa kuwa makini kuchangia mchango wa kupinga na matusi juu Kwa kitu ambacho kiukweli hakuna ukweli wowote.
Nb.
Serikali imekanusha taarifa hii Kwa kusema ni uzushi mtupu
 
Tatizo ni dereva mwenyewe. Mimi Huwa namuona hamna kitu kabisa. Alifikaje hapo. Hana Nia nzur na nchi,Hana uwezo wa kuendesha gari, uwezo wake wa kujenga hoja na kuongea ni mdogo,haeleweki falsafa yake ya udereva ni ipi. Lakini Kuna wajinga utawasikia mitano tena. Huwezi ukawa na akili timamu ukampa mitano tena dereva wa hovyo kiasi hicho.
Uongozi ni falsafa.

Ukikosa falsafa, utakua mtu wa kudandia dandia kila kitu.

Japo mm siwezi kumlaumu dereva wetu kwa sasa maana anaokoa jahazi tu ili tufike kituo kinachofuata, ila anapotaka kuturudisha tena ndo simuelewi kwa sababu hata yeye anaona kabisa haeleweki
 
🤣😅😅😅 kutoka umeme hadi dizel, baada ya hapo Makaa ya mawe
Hahaha...! Na mwisho, za kutumia kuni. Haya mabadliko unayoyaona ya viongozi yanafanyika kla wkt, unafkir yana7bishwa na nn? Ni upeo wa viongozi ...nk
 
Back
Top Bottom