Uchaguzi 2020 Eti ‘tunataka Tume huru’ wakati chaguzi za vyama vyenu hazina huo uhuru, wanafiki wakubwa!

Uchaguzi 2020 Eti ‘tunataka Tume huru’ wakati chaguzi za vyama vyenu hazina huo uhuru, wanafiki wakubwa!

Ktk kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tz tunapoelekea ujaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!

Ktk yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona kwenye clips hapo chini!...
we bwege kwanini CCM wanapeleka Majeshi Zanzibar kila wakati wa uchaguzi?
 
Ktk kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tz tunapoelekea ujaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!

Ktk yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona kwenye clips hapo chini!.
CCM imetoa fomu 1 tu ya mgombea urais. Chadema imetoa fomu zaidi ya moja ya mgombea urais. CCM imeonesha mfano kwenye haki ya wanachama wake kugombea nafasi ya urais.

Chadema imeshindwa kutoa demokrasia kuwapa nafasi wanachama wake wengi kugombea nafasi ya urais. Ni yaleyale ya wenzetu waoga walijifungia kuogopa Corona wakati sisi tulilihama jiji, anyway we are always right.
 
Ktk kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tz tunapoelekea ujaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!

Ktk yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona kwenye clips hapo chini!...
Mkuu ,watu hawazingumzii uchaguzi ndani ya ccm,wanazungumzia uchaguzi wa nchi yeye wanachama wa vyama vya siasa na wasio wanachama wa chama chotechote Cha siasa.Ni ujinga wa kiwango Cha phD kuilinganisha nchi yetu na kikundi cha watu kwa maana ya chama cha siasa.Nchi yetu inapaswa kulinganishwa na nchi nyingine wanazoishi watu wastarabu. Sasa ninyi huu ujasiri wa kulinganisha nchi yetu na chama cha siasa sijui mnaupata wapi? Au ndo ujinga wenu umetamaraki
 
Ktk kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tz tunapoelekea ujaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!

Ktk yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona kwenye clips hapo chini!

Dai la tume huru ya uchaguzi: hiki kiini macho kimekuwa agenda kwa vyama hivi hasa baada ya kukosa agenda mbadala itakayoweza pambanishwa na Ccm iliyojizatiti kwa kujibu vijiagenda vyote vilivyokuwa vikiwapa kiki ktk awamu zilizopita!..
Mbona unataka kupasuka? Chama kikongwe kinaogopa Tume Huru Aibu sana TUME HURU HAIKWEPEKI
 
Nadhani anaetaka tume huru zaidi ni wananchi mkuu sio kina Mbowe.
Wananchi wanataka thamani ya kura yao ndani ya sanduku inaonekana na siyo kuchezewa. Thamani ya kura itaonekana tu chini ya wasimamizi huru wa uchaguzi. Haya siyo matakwa ya chama cha siasa chochote. Ni matakwa ya wananchi wengi.
 
Chama gani hicho? Cha kwenye flash au ile kampuni ya Mbowe!?
Wanatafuta namna ya kuhalalisha kuwa saccos siyo chadema tuu, iwe hata CCM na saccos pia! Makamanda mnafeli wapi?????
 
Wanatafuta namna ya kuhalalisha kuwa saccos siyo chadema tuu, iwe hata CCM na saccos pia! Makamanda mnafeli wapi?????
Hawa jamaa kwa kweli uchaguzi huu umewashika pabaya Sana! Wangetafuta kazi nyingine Kama siasa imewashinda! Mziki wa Magu ni mzito Sana!
 
Back
Top Bottom