Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wimbo nikiusikiza najisikia vibaya pale anaposema ualimu na upolisi ni kimbilio la waliofeli,sa hivi hii kauli ni ya kweli.Roma Mkatoliki
Ila hapa chuo kikuu watu wana one F6 na wanasoma ualimu
Irumba chuo gani
Ujue hao wanaenda kwenye ualimu kama stepping stone tuIla hapa chuo kikuu watu wana one F6 na wanasoma ualimu