The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
- Thread starter
- #21
Yani unampongeza Adele kwa kujikongoroa? Ebu Cheki alivyokuwa mnene zuri kweli kweli na youthful looksMimi nimpongeze Adele asee kupunguza mwili ni kazi ngumu Sana, labda uchkue mkopo bank ndo Unaweza konda kwa hapa tz