Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

Mzuka wanajamvi.

Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠

View attachment 1626676View attachment 1626685

Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani Inasikitisha demu utadhani mjusi eti kwao ndio ana mvuto na mrembo . View attachment 1626678View attachment 1626679View attachment 1626680

This is wrong totally unacceptable!
Unene ni dalili ya uzembe
 
Back
Top Bottom