nipo likizo so mda mwingi napitia you tube sasa nimekutana na video moja inaonyesha kuwa UKIMWI ulitengenezwa kupunguza wingi wa watu ktk nchi za ulimwengu wa tatu kwan wanaona tunazaliana sana, then ktk mpango wao wa depopulation wametengeneza vyakula vya sumu ,pia dawa ya UKIMW Iilipatikana ila alieitengeneza kapigwa stop kwa sababu zao wenyewe jaman nimeogopa kama ni hivyo hii mijamaa ikiamua kutumaliza si tutaisha angalia hii kitu you tube THE ILLUMINATE AND DEPOPULATION AGENDA