Eti ukimwi ulitengenezwa kupunguza watu

Eti ukimwi ulitengenezwa kupunguza watu

mawanjeni

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
40
Reaction score
7
nipo likizo so mda mwingi napitia you tube sasa nimekutana na video moja inaonyesha kuwa UKIMWI ulitengenezwa kupunguza wingi wa watu ktk nchi za ulimwengu wa tatu kwan wanaona tunazaliana sana, then ktk mpango wao wa depopulation wametengeneza vyakula vya sumu ,pia dawa ya UKIMW Iilipatikana ila alieitengeneza kapigwa stop kwa sababu zao wenyewe jaman nimeogopa kama ni hivyo hii mijamaa ikiamua kutumaliza si tutaisha angalia hii kitu you tube THE ILLUMINATE AND DEPOPULATION AGENDA
 
we endelea tu kutumia kinga na uwe na mpenzi mmoja mwaminifu eeeh.
 
What Engilish men think is that there times when God sleep like human being does,but because God does not sleep he knew their mission and now it is killing them too.
 
Back
Top Bottom