Wataalam wanasema ni wiki 6 hadi miezi mitatu (90 days) ila kwa vipimo vyetu wanashauri ni 90 days ndio uhakika zaidi!!! Ila kwa dalili wanasema hakuna kabisa na ndiyo maana wengi wanaishi na virusi kwa muda mrefu bila kujijua.
Unajijua tu pale kinga inaposhuka na inabidi mwili uanze kupambana!!! Wenye utaalam wao watujuze kama kuna any dalili ndani ya miezi mitatu ya infection!!!
Ninauliza kwa sababu kitu kama virus kinaingia mwilini which is a foreign agent kweli mwili haushtuki hata kidogo? Maana ukiwa hata na bacterial infection unapata homa, tezi kuvimba etc, sasa kwa virus ambao ni hatari je hakuna dalili za awali kabisa? Changamoto hii.