spanishdasilva
Member
- Jun 9, 2024
- 17
- 30
Naomba ushauri wana jamii forums round ya pili kwenye lile tendo nikiwa nakaribia kumwaga niligundua condom imepasuka hvyo nilipata pressure nikamuomba sana mwenzangu tukapime alikataa katakata na hakutaka tena ukaribu na mm siku 42 zimepita sasa nifanyaje kupima naogopa