Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Jana mimi na my partners in crime tumekubaliana kimsingi kuwa hii kauli ya vyuma vimekaza ni overrated na kujifariji kwa watu tu!
Baada ya kuangalia Man Utd akimshughulikia kibonde wake wa kila siku Arsenal pale Samaki Samaki Masaki tukaamua tusheherekee kwa kuzunguka viwanja kadhaa na kukaa nusu saa kila kiwanja.
Kwa kweli bata linalika kama kawa, viwanja vyote (5)tulivyofanikiwa kupita vilikuwa vimejaa na watu wanakula shangwe
Tunamuomba Makonda atuachie Dar yetu kama tulivyozoea tunywe hadi saa mbili asubuhi au hadi hela ziishe!
Jumapili njema....
 
vyuma kukaza ni kauli za kujifariji tu hela ya bata haikosekani biashara zote zitakosa wateja lakini viwanja vya bata kama kawa
 
Vyuma vilikaza tangu siku nyingi tu, labda msimu huu ndiyo vyuma vimejidhihirisha live tu.
 
vyuma kukaza ni kauli za kujifariji tu hela ya bata haikosekani biashara zote zitakosa wateja lakini viwanja vya bata kama kawa
Hata mimi naona ni kujifariji tu
 
Au wasipigwe mizinga...
Ndo hivyo mkuu wewe ni kama mfanya biashara uza bidhaa bora tu uone kama hujauza

Na hakuna wakati ambao wateja wananunua vitu vya bei kubwa kama wakati huu

Mteja ukimwambia hiki kinauzwa laki mbili na hiki laki moja na nusu wengi wananua vya laki mbili
 
la chaaz
element
the great park
malizia ivyo vingine
 
Muhenga aliyesema.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
Wala hajakosea.
Umeshindwa kutofautisha Kati yako na wengine?
Wewe una hela au una vijisent vya kula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…