Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

Eti Vyuma Vimekaza....Pambana na Hali Yako....!!!

Ndo hivyo mkuu wewe ni kama mfanya biashara uza bidhaa bora tu uone kama hujauza

Na hakuna wakati ambao wateja wananunua vitu vya bei kubwa kama wakati huu

Mteja ukimwambia hiki kinauzwa laki mbili na hiki laki moja na nusu wengi wananua vya laki mbili
Huu ni muda wa kuwa The Best...watu wamefunguka macho, value for money matters!
 
Muhenga aliyesema.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
Wala hajakosea.
Umeshindwa kutofautisha Kati yako na wengine?
Wewe una hela au una vijisent vya kula?
Sina kitu kapuku tu...Kwani kwenda kustarehe unahitaji millions?
 
Sina kitu kapuku tu...Kwani kwenda kustarehe unahitaji millions?
Muhenga aliyesema masikini akipata matako ulia mbwata.
Wala hakukosea.
ungekuwa bakhresa ingekuwaje?
usiangalie mtumbo wako kushiba. Angalia na wanaokuzunguka wana Hali gani kimaisha. Hali ya uchumi mbaya. Ajira hamna. Hela hamna. Watu wanapigika kitaa.
Alaf wewe unakuja kukejeli watu humu.
 
Hayo ni maoni yako. Nimekwambia mimi kapuku kama imekuuma eff off hakuna aliekuita hapa.
 
weee wacha bana....ipo wapi iyo

Iko mbezi beach ile barabara ya chini mitaa kama unaelekea baharini. Usawa wa maghorofa ya BOT halafu barabara inayoelekea baharini mbele mbele utapakuta. Pametulia sana barabarani hakuna bango ila bango lake liko getini kwenye hiyo sehemu. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom