kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Hili ndio sahihi zaidiAu kauli ya kukwepa mizinga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio sahihi zaidiAu kauli ya kukwepa mizinga...
Raha jipe mwenyewe...
Ulikuwa na yule manzi wa JF???Im only 22yrs old with 15 yrs experience...
Mimi Sina shida lakini siwezi kukashfu watu kama unavyofanya.Hayo ni maoni yako. Nimekwambia mimi kapuku kama imekuuma eff off hakuna aliekuita hapa.
Nitatembelea.
Hahaaa mkuu pambana tu pesa bado zipo sanawatoto wa mafisadi nyie
Kwahiyo nikikaa nyumban ndo siruhusiwi kupiga helaunapiga kivipi wakati unakaa kwenu?
Sina kitu kapuku tu...Kwani kwenda kustarehe unahitaji millions?
ondoka kwenu kwanzaKwahiyo nikikaa nyumban ndo siruhusiwi kupiga hela
Ana chura?Hivi bado unakula ujana hadi leo??....Bado hujazeeka?...Ulikuwa na yule manzi wa JF?[emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe bado upo JF??[emoji32]......nilishakuambia kwa kuwa huna chura hustahili kuwa JF!!Ana chura?
HahaaaaaWewe bado upo JF??[emoji32]......nilishakuambia kwa kuwa huna chura hustahili kuwa JF!!
Kwa nini hutaki kunisikia lakini???!Hahaaaaa