Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
la chaaz
element
the great park
malizia ivyo vingine
Huu ni muda wa kuwa The Best...watu wamefunguka macho, value for money matters!Ndo hivyo mkuu wewe ni kama mfanya biashara uza bidhaa bora tu uone kama hujauza
Na hakuna wakati ambao wateja wananunua vitu vya bei kubwa kama wakati huu
Mteja ukimwambia hiki kinauzwa laki mbili na hiki laki moja na nusu wengi wananua vya laki mbili
weee wacha bana....ipo wapi iyoKasie Park.....
huo mshono wake sasa kama vile watu wapo taifa wanaangalia mechi ya simba na yangaThe Bucket
George and Dragon
Havoc
Governers'
4Ways Park
Woodmont
BreakPoint
unapiga kivipi wakati unakaa kwenu?Mimi kipindi hiki ndo napiga hela sana kushinda vipind vyote
Muhenga aliyesema masikini akipata matako ulia mbwata.Sina kitu kapuku tu...Kwani kwenda kustarehe unahitaji millions?
Hayo ni maoni yako. Nimekwambia mimi kapuku kama imekuuma eff off hakuna aliekuita hapa.Muhenga aliyesema masikini akipata matako ulia mbwata.
Wala hakukosea.
ungekuwa bakhresa ingekuwaje?
usiangalie mtumbo wako kushiba. Angalia na wanaokuzunguka wana Hali gani kimaisha. Hali ya uchumi mbaya. Ajira hamna. Hela hamna. Watu wanapigika kitaa.
Alaf wewe unakuja kukejeli watu humu.
Wahenga hatubaki nyuma...
Du heri yako kijana....vipi wife kaacha kukulazimisha kumpokea mkoba akitoka job hasa baada ya wewe kusimamishwa kazi?Mimi kipindi hiki ndo napiga hela sana kushinda vipind vyote
weee wacha bana....ipo wapi iyo
Ipo nyumbani kwake...