Sam furahi ila angalia hizo story zako unaweza kuitiwa msiba muda wowote.
Hao mascretary wana waume zao na watoto pia. Kwa hiyo mwaga data lakini bakiza kidogo kidogo. Puliza kizenj kizenj ili walau baadhi ya wenye mali waendelee kuishi kwa matumaini. Hata hivyo, wapo wenye wake ambao siyo mascretary nao wanalizwa kwa sana. Na pia wababa ambao siyo maboss lakini wanawasha moto utadhani wanakimbia mbio za vijiti. Hakuna kanuni mkuu. Kwa hiyo hata kama ni kucheka basi tucheke kichini chini kwani hatuna immunity, tunaweza kuwa wahanga wakati wowote!